Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ni jambo linalo weza kuhatarisha afya ya mhusika.
Kama ilivyo kwa suala la kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi, suala la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi pia lina madhara mengi katika afya ya binadamu.
MADHARA YA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, yafuatayo ni madhara ya kiafya yanayo weza kumpata mtu mwenye tatizo la uzito mdogo kupita kiasi.
1. Kupungua na kudhoofika kwa kinga ya mwili
2. Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya mifupa kwa sababu mwili hushindwa kupokea na kutengeneza virutubisho muhimu vinavyo hitajika katika kuimarisha afya ya mifupa
3. Kuwa na nywele zisizo na afya ( Kinyonyoki)
4. Kuwa na ngozi isiyo na afya
5. Kuugua mara kwa mara kutokana na kuwa na kinga dhoofu ya mwili.
6. Watu wenye uzito mdogo kupita kiasi huwachukua muda mrefu kupona hata magonjwa ya kawaida ambayo hupona ndani ya muda mfupi
7. Kujisikia uchovu muda mwingi
8. Kupungukiwa damu ambako huweza kusababisha hali kama vile kizungu zungu na maumivu ya kichwa ya mara kwa mara.
9. Kwa wanawake , tatizo la uzito mdogo kupita kiasi linaweza kuathiri mpangilio wa hedhi ambao unaweza kupelekea matatizo katika uzazi.
10. Na kwa mwanamke mjamzito mwenye tatizo la uzito mdogo kupita kiasi, anaweza kupatwa na tatizo la kujifungua kabla ya wakati yani kabla ya wiki 37.
11. Tatizo la uzito mdogo kupita kiasi huathiri ukuaji wa watoto. Watoto wadogo wanahitaji kuwa na virutubisho vya kutosha ili waweze kukua na kuongezeka na kuwa na mifupa yenye afya. Ukosefu wa vitu hivyo maana yake ni kwamba mtoto husika hatoweza kukua na kuongezeka vizuri . Vilevile tatizo la uzito mdogo kupita kiasi linaweza kusababisha tatizo la mifupa kwa watoto jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa afya za watoto husika
CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu za tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ( Kukonda na kudhoofu mwili )
1. Kuugua magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile vidonda vya tumbo,presha na kisukari.
2. Msongo wa mawazo.
3. Kujinyima kula ( Kufanya diet ngumu ) au kukosa hamu ya kula kwa muda mrefu. Kukosa hamu ya kula kunaweza kuwa kumesababishwa na eidha kuugua magonjwa na matatizo mbali mbali ya kiafya au kupatwa na tatizo la msongo wa mawazo.
SULUHISHO LA TATIZO LA UZITO MDOGO KUPITA KIASI( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Unaweza kumaliza tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi kwa kuzingatia kula mlo kamili ( Balanced Diet ) au kwa kutumia DAWA ZA ASILI ambazo ni maalumu kwa ajili ya kumaliza tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ( KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
DAWA YA ASILI INAYO MALIZA TATIZO LA KUWA NA UZITO MDOGO KUPITA KIASI ( TATIZO LA KUKONDA NA KUDHOOFU MWILI )
Ipo DAWA –LISHE YA ASILI ambayo INATIBU na KUMALIZA kabisa tatizo la kuwa na uzito mdogo kupita kiasi ambalo linaenda sambamba na kukonda na kudhoofu mwili. Dawa hii ni ya asili kabisa isiyo na kemikali yoyote ya viwandani na inayo saidia kutibu na kumaliza tatizo hili na kuurudisha mwili katika afya yake ya awali ndani ya siku thelathini.
JINSI YA KUPATA DAWA HII: Jinsi ya kupata dawa hii, fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM nyuma ya JENGO LA UBUNGO PLAZA jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Wasiliana nasi kupitia simu namba 0693 - 005 189.
Na kwa taarifa Zaidi kuhusu huduma zetu nyingine, tutembelee kupitia tovuti yetu :
https://ift.tt/1u8My9X
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment