LIVE: Rais Magufuli Akipokea Hati Za Utambulisho Wa Mabalozi – Ikulu DSM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anapokea hati za utambulisho wa Ubalozi kutoka katika Mabalozi wateule tisa (9) walioteuliwa na kuziwakilisha Nchi zao hapa Nchini. Wanaowasilisha ni pamoja na -:

1. Mhe. Maria Amelia Mario De Paiva – Balozi mteule wa Ureno nchini mwenye makazi yake Nchini Msumbiji

2. Mhe. Douglas Foo Peow Yong – Balozi mteule wa Singapore nchini mwenye makazi yake Nchini Singapore

3. Mhe. Alex G. Chua – Balozi mteule wa Ufilipino nchini mwenye makazi yake Nchini Kenya

4. Mhe. Angela Veronica Comfort – Balozi mteule wa Jamaica nchini mwenye makazi yake Nchini Afrika Kusini

5. Mhe. Dkt. Christian Fellner – Balozi mteule wa Austria nchini mwenye makazi yake Nchini Kenya

6. Mhe. Fransisca Ashiete Odunton – Balozi mteule wa Ghana nchini mwenye makazi yake Nchini Kenya

7. Mhe. Jesus Agustin Manzanila Puppo – Balozi mteule wa Venezuela nchini mwenye makazi yake Nchini Kenya

8. Mhe. Yacin elmi Bouh – Balozi mteule wa Djibouti nchini mwenye makazi yake Nchini Kenya

9. Mhe. Oded Joseph – Balozi mteule wa Israel nchini mwenye makazi yake Nchini Kenya

Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Januari 28, 2020


from MPEKUZI

Comments