Utabiri wa Hali ya Hewa hatarishi wa siku Tano na Athari zinazoweza kutokea

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa hali ya hewa hatarishi kwa kuwapo mvua za wastani kwa siku tano zijazo pamoja na athari zinazoweza kujitokeza.

Taarifa hiyo iliyotolewa jana Jumatatu Desemba 23, 2019 kwa umma, imeelezea maeneo yatakayoathirika na mvua hizo za wastani ni baadhi ya maeneo ya Nyanda za Juu kusini pamoja na Kusini ikiwamo Lindi na Mtwara.


from MPEKUZI

Comments