Kampuni ya simu maarufu Tanzania na Barani Afrika, TECNO Mobile imekuja na Ofa ya kibabe inayotambulika kwa jina la “TUNU ZA TECNO” yenye malengo ya kuwanufaisha wateja wake katika msimu huu wa sikukuu.
Ofa ipo hivi, kwa kila mteja atakayenunua simu ya TECNO Spark 4 Air au simu yoyote katika Camon 12 series atakuwa ameingia moja kwa moja katika droo ya kushindania zawadi kemkem ikiwemo shopping voucher yenye thamani hadi Tsh 500,000 pamoja na King’amuzi cha DSTV chenye Offer ya Compact Bure.
Droo kubwa zitachezeshwa Tarehe 14 Disemba na 21 Disemba.
Ofa hii ni kuanzia tarehe 26 Novemba hadi tarehe 24 Disemba katika maduka yote ya TECNO Tanzania, wahi sasa kwani hata wewe unaweza kuwa mshindi.
Kwa maelezo zaidi tembelea https://www.tecno-mobile.com
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment