Harmonize ameiachia EP ya nyimbo zake inayoitwa AfroBongo....Zitazame Hapa

Msanii wa muziki kutoka lebo ya WCB iliyochini ya Diamond Platnumz, Harmonize ameiachi EP yake ya nyimbo nne alizowashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo boss wake Diamond Platnumz.

Mbali na Diamond kuwepo kwe EP hiyo lakini pia amewashirikisha wasanii kadhaa kutoka Nigeria akiwemo Burnaboy, Yemi Alade na Mr Eazi. 

==>>Tazama hapo chini






from MPEKUZI

Comments