BREAKING: Kiwanda cha viatu cha Bora Taraza Dar es Salaam Kinateketea kwa Moto

Sehemu ya kiwanda cha viatu cha Bora kinawaka moto katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. 

Chanzo bado hakijajulikana, lakini Kikosi cha zimamoto tayari  kiko eneo la tukio na juhudi za kudhibiti moto huo zinaendelea.


from MPEKUZI

Comments