Spika Wa Bunge Akimuaga Mhe. Kitwanga Uwanja Wa Ndege Jijini Dodoma Wakati Akipelekwa Jijini Dar Es Salaam Kwa Matibabu Zaidi

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
PICHA NA BUNGE



from MPEKUZI

Comments