Mkuu Wa Operesheni Maalum Za Jeshi La Polisi Nchini Akutana Na Kuzungumza Na Kikosi Cha Kupambana Na Uhalifu
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akizungumza na kikosi Maalum cha kupambana na uhalifu katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Mtwara, baada ya kuwasili katika ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma. (Picha na Jeshi la Polisi)
Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akishiliki mazoezi ya pamoja na kikosi maalum cha kupamba na na uhalifu Mkoa wa Mtwara baada ya kuwasili katika ziara yake mkoani humo.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas aliesimama katikati, akimsikiliza Mkaguzi wa Polisi INSP, Idd Kimia wa kushoto kwake wakati akiangalia utayali wa kikosi cha kupambana na uhalifu Mkoa wa Mtwara ambacho hakipo pichani.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas katikati na kulia kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP Joseph M.Konyo wakiwa katika picha ya pamoja na kikosi maalum cha kupambana na Uhalifu mkoani humo. (Picha na Jeshi la Polisi).
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment