Samli ina faida nyingi sana katika afya ya mwanadamu.
Moja kati ya faida za samli ni pamoja na kusaidia kuimarisha mifupa, kusaidia katika kupunguza uzito, kuboresha usagaji wa chakula mwilini na kutibu uvimbe kwenye ngozi.
Katika TIBA ASILIA samli INA matumizi mengi sana.
Moja kati ya matumizi ya samli ni katika TIBA ya KUREFUSHA NA KUNENEPESHA MAUMBILE YA KIUME.
JINSI SAMLI INAVYO TUMIKA KATIKA TIBA YA KUREFUSHA MAUMBILE YA KIUME.
Katika TIBA ya KUREFUSHA na kunenepesha MAUMBILE ya kiume samli inatumika pamoja na mti ambao katika tiba asilia unajulikana kama MWONGEZA.
Mti huu unaitwa Mwongeza kwa sababu karibu sehemu zote za mti huu zinatumika katika tiba ya kuongeza vitu mbalimbali mwilini.
Mfano: Majani ya mti huu yanatumika katika tiba ya kuongeza hamu ya kula pamoja na kuongeza mwili wa mtu aliyedhoofika kwa maradhi kama kisukari n.k.
Mizizi ya mti huu hutumika kuongeza nguvu za KIUME.
Majani ya mti huu hutumika pamoja na majani mabichi ya mti wa mkwaju katika kuongeza maziwa kwa mama anae nyonyesha.
Katika TIBA ya KUREFUSHA na KUNENEPESHA maumbile ya KIUME magamba ya mti huu ndio yanayo tumika pamoja na mafuta ya samli.
JINSI YA KUTAYARISHA: Chukua magamba ya mti wa Mwongeza yakaushie kivulini (usikaushie juani ). Yakisha kauka yasage kisha changanya na mafuta ya samli halafu tumia kujichua kwenye uume Mara mbili kwa Siku kwa muda Siku thelathini.
Ni TIBA yenye Matokeo mazuri sana ambayo inaongeza na KUREFUSHA uume bila wasiwasi.
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA DUKA LA NEEMA HERBALIST. DUKA LINALO JIHUSISHA NA UUZAJI WA DAWA MBALIMBALI ZA ASILI . TUNAPATIKANA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM JIRANI NA SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA JENGO LA UBUNGO PLAZA.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA : 0693 005 189.
TOVUTI: https://ift.tt/1u8My9X
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment