Amber Rutty na Mpenzi wake waachiwa kwa dhamana

Msanii Amber Rutty na mpenzi wake Said Mtopari, wameachiwa kwa dhamama katika Mahakama ya Kisutu leo. Amber Rutty amedhaminiwa na ndugu yake huku mpenzi wake akidhaminiwa na Mchungaji Daudi Mashimo wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Mbezi Luis DSM.

Amber Rutty na Said Bakary walifikishwa mahakamani hapo November 2, 2018 wakikabiliwa na kosa la kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Mbali na Amber Ruth na Said Bakary ambao walishindwa kudhaminiwa kwa mara tatu mfululizo mshtakiwa mwingine ni James Charles maarufu kama ‘James Delicious’ ambaye yeye alishadhaminiwa.


from MPEKUZI

Comments