Polisi Kinondoni inawashikilia mgambo watatu kwa kumshambulia na kumjeruhi Mwananchi

Polisi Kinondoni inawashikilia mgambo watatu, kwa kumshambulia na kumjeruhi Robson Orotho, mkazi wa Bunju Dar kwa kutolipa faini ya usafi Sh50, 000.




from MPEKUZI

Comments