MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA
ILIPOISHIA
Nilizungumza huku taratibu nikimzamisha jogoo wangu kwenye kitumbua chake, na kumfanya Monica atoe mguno ulio nisisimua, safari hii sikufanya kwa kumkomoa, ila ninampeleka taratibu taratibu ili kufurahia utamu wa jogoo wangu. Mtanange wa wakati huu Monica alitokea kuupenda kuliko hata mara ya kwanza, kwa maana niliweza kumsugua ipaswavyo. Tukiwa tupo katika hatua za mwisho mwisho, Hassani na Lissa wakaingia bafuni huku wakiyumba yumba na kumwagikwa na jasho.
“Mamaeee Tanga raha jamani, waoooooo”
Hassani alipiga kelele huku akikata viuno kwa furaha na kumfaya jogoo wake aliye simama bado kucheza cheza juu chini chini juu.
ENDELEA
“Acha vituko vyako Hassani”
“Ahaaa Dany, huyu mtoto ku*maee ni mtamu sijapata kuona aiseee”
“Nenda naye Dar”
“Ahaaa mbona tulisha lizungumza hilo tayari, kesho naondoka naye”
“Wacha wee, ndio unakwenda kukamilisha mpango wa kumuoa nini?”
“Ahaaa ukirudi Dar utakuta ngoma inongile”
Hassani alizungumza meno yote yakiwa nje, akasimama kwenye bomba la maji na kuanza kujimwagia. Lissa akamsogela na wakaanza kuoga wote, mimi na Monica tukawa tunawatazama, wakamaliza na kutoka. Monica akaniogesha taratibu pasipo maji yangu kuingia mgongoni, tulipo maliza kuoga tukatoka bafuni na kuwakuta Lissa na Hassani wamelala kitandani na kujifunika shuka moja.
“Tukae zetu kwenye kochi”
Sikutaka kubishana na wazo la Monica nikaka kwenye kochi. Nikatazama saa iliyopo ukutani mwa chumba hicho na kuuta ni saa saba sita usiku. Kwa haraka nikanyanyuka na kuifwata suruali yangu ilipo, nikatoa simu yangu mfukoni nakurudi kukaa kwenye sofa. Nikaanza kuitafuta namba ya mama sehemu nilipo isave. Nikampigia na simu nikaiweka sikioni, simu ya mama ikaita mara kadhaa, kisha akapokea.
“Mbona hamrudi?”
“Mama kuna kazi tunaimalizia nahisi nitarudi asubihi”
“Ahaaa upo na huyo mwenzio au amesha ondoka?”
“Nipo naye”
“Sawa, kuwa makini tu”
“Sawa mama”
“Usiku mwema”
“Na wewe mama”
Nikakata simu na kuiweka juu ya meza na kumtazama Monica aliye laza kichwa chake kwenye mapaja yangu, wakati ninazungumza na mama.
“Una usingizi?”
“Noo nilikuwa nakusikiliza unavyo zungumza na mama yako, ninamkumbuka sana marehemu mama yangu”
“Ohooo ple sana”
“Ahaa nimesha poa.”
“Ehee niambie sasa, malengo yako ni nini kwenye maisha yako?”
“Malengo ni mengi, ila kubwa ni kuachana na maisha haya. Nahitaji kuwa mtu maarufu sana kupitia kipaji cha kuigiza”
“Mimi nina marafiki zangu ambao wanahusika na filamu, nikirudi Dar hivi ninaweza kuzungumza nao na kukutanisha nao ili waweze kukusaidia”
“Nitashukuru sana Dany, katika maisha yangu ya uchangudoa sijawahi kukutana na mwanaume kama wewe, aliye jaribu kuniuliza japo hata ndoto zangu, wengi walini tomb** na kuniacha”
“Unajua binadamu tupo tofauti, huwa sipendi sana kuwaona dada zetu kama nyinyi munaifanya kazi kama hii, kwa maana inaniuma sana. Ndio maana hata nilivyo ingia humu ndani sikuhitaji kuweza kufanya chochote ila maneno yake ndio yaliyo nifanya kuweza kufanya hivyo nilivyo kufanya”
“Samahani kwa maneno yangu, unajua tukiwa katika kazi hii huwa tunajichetua, pale nilikuwa nikitafuta pesa tu”
Lissa na Hassani wao nao walikuwa wakizungumza mazungumzo yao. Hadi wakapitiwa na usingizi, mimi na Monica kazi yetu ikawa ni kutazama vipindi tofauti tofauti katika Tv iliyopo humu ndani ya chumba hadi Monica akapitiwa akapitiwa na usingizi na mimi nikabaki kimya, usingizi nilio lala nikiwa safarini uliweza kunisaidia sana kuto kulala, kwa usalama wetu hususani wa mali zetu kama pesa na simu kwa maana siwezi kuwaamini wasichana hawa moja kwa moja na hata wakituibia hatuna sehemu ya kuwapata tena.
Hadi inatimu saa kumi na mbili na nusu, nikaanza kumuona Hassani akinyanyuka kitandani, akiwa anapiga miyayo.
“Vipi hujalala?”
“Ahaa sijalala, nilikosa usingizi”
“Ahaa mimi sijui hata nimepitiwa na usingizi muda gani”
“Mulikuwa munazungumza hapo na mwisho wa siku nikasikia kimya”
“Daaa”
Hassani alizungumza huku akishuka kitandani, akajinyoosha viongo vyake kwa uchovu, akamtazama Monica aliye laza kichwa chake kwenye miguu yangu, huku makalio yake yakiwa juu.
“Vipi?”
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment