Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja afariki dunia

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kusini Unguja, Ramadhan Abdalla Ali amefariki dunia nyumbai kwake visiwani Zanzibar.



from MPEKUZI

Comments