Posts

Hawa wa Diamond Akutwa na ugonjwa mwingine, sio Ini kama ilivyoelezwa Hapo Awali

Mo Dewji: Namshukumu Mungu kwa kuokoa maisha yangu

RC Makonda Atangaza Ajira Kwa Vijana wenye Taaluma ya IT

Alichokisema Godbless Lema Baada ya Kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kwa Masaa Matatu

Rais Magufuli Amjulia Hali Mbunge Wa Makete Profesa Norman Sigala Ambaye Amelazwa Katika Hospitali Ya Muhimbili Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumjulia hali leo tarehe 22/9/2018.

AISIIIII……….U KILL ME ( Sehemu ya 116 na 117 )

Riwaya Kali: POWER - Sehemu ya 15