NEC Yamteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais wa Tanzania Kwa Tiketi ya chama cha CUF.

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hamida Abdallah Huweishi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia chama cha CUF.


from MPEKUZI

Comments