NEC Yamteua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania Kwa Tiketi ya Chama cha SAU

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kupitia kwa M/kiti wake Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, imewateua Muttamwega Mgaywa kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Satia Musa kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha SAU.


from MPEKUZI

Comments