PICHA: Rais Magufuli akiangalia maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akichota mchanga kuweka kwenye Toroli wakati alipoenda kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU


from MPEKUZI

Comments