Nafasi Za Kazi Kyela, Mbeya | Wanahitajika Watu wa Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga kura ( BVR Kit Opeators na Waandishi Wasaidizi)

Halmashauri ya Wilaya ya Kyela ni moja ya halmashauri 7 katika Mkoa wa Mbeya na historia yake inatazama nyuma mwaka 1972 wakati Wilaya ilianzishwa baada ya kugawanyika kutoka Wilaya ya Rungwe.

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kyela anapenda kuwajulisha kuwa, zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Kyela linaanza hivi karibuni.

Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la  Wapiga kura Vituoni, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Opeators.

Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo:

Kwa maelezo ya ufafanuzi wa Tangazo, Sifa za Waombaji wa nafasi (Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators), Majukumu yao na Mambo ya kuzingatia wakati wa kutuma maombi. 

 
<<Bofya hapa: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA>>


Pia kuna matangazo mengine mengi ya Kazi mbalimbali yaliyotangazwa wiki hii.


from MPEKUZI

Comments