Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Viwanja viko Mingoi, ni mpakani mwa Bunju na Mapinga. Viko umbali wa km 2 kutoka Darajani (Bagamoyo Road). Viwanja viko sehemu nzuri inayofaa kwa Makazi, Biashara na Ufugaji.

Viko Viwanja vya size tofauti:
20/20 (sqm 400) bei milion 5
20/30 (sqm 600) bei milion 8
20/40 (sqm 800) bei milion 10
Robo eka (32/32) bei milion 12
Nusu eka (32/64) bei milion 24
Eka nzima (64/64) bei milion 48

Ruksa kulipa kwa awamu 2, kianzio ni 75% na luksa kujenga mara tu baada ya kulipa awamu ya kwanza.

Biashara hii haina dalali/udalali. Mpigie Mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709

Ukipata ujumbe huu, mjulishe ndugu/jamaa/rafiki.


from MPEKUZI

Comments