Video Mpya: Vanessa Mdee ft. Reekado Banks - Bambino

Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee ameachia video  ya wimbo wake Bambino ambao unapatikana kwenye albamu yake ya Money Mondays akiwa amemshirikisha Reekado Banks kutokea  nchini Nigeria. Itazame hapa.


from MPEKUZI

Comments