Baada ya Wema Sepetu Kumwanika Mume Wake Mtarajiwa.... Diamond , Idriss Wajibu Mapigo

Baada ya Mrembo Wema sepetu kumuanika hadharani mume wake mtarajiwa, Msanii Diamond Platnumz ambaye amewahi kutoka kimapenzi na Wema ameamua kujibu mapigo kwa kuposti picha yake na kujitangaza na yeye ni mume mtarajiwa, japo hajamtaja  mkewe mtarajiwa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika; "Your Future Husband!!!!🙏🏻...au sifai?😋" 

Wema Sepetu  amewahi kuwa kwenye mahusiano na watu maarufu Bongo kama Diamond Platnumz, Idris Sultan, TID, Mr. Blue na wengineo.

Idriss Sultan yeye kaamua kumjibu Wema Kwa Kupost Mafuta ya kupaka ya Girl Friend akidai ndo "Future Wife Wake"



from MPEKUZI

Comments