Updates: Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 94

Zoezi  la ukoaji wa miili ya watu waliopoteza maisha katika Kivuko cha MV Nyerere bado linaendelea  ambapo Vikosi Maalum vya uokoaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Watanzania (JWTZ) na Jeshi la Zimamoto na uokoaji vinaendesha zoezi hilo.

Hadi sasa idadi ya miili iliyopatikana  imeongezeka na kufikia 94 zoezi la uokoaji bado linaendelea, hii ni kwa mujibu  wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella


from MPEKUZI

Comments