BREAKING: Msikilize Rais Magufuli Akizungumza na Taifa Kuhusu Ajali ya MV Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungango wa Tanzania Dr John Magufuli amezungumza na Taifa kuhusu ajali ya MV Nyerere ambapo pamoja na kutoa pole kwa wafiwa  ametangaza siku 4 za maombolezo kuanzia leo Septemba 21, 2018

Msikilize hapo chini akiongea👇🏼👇🏼


from MPEKUZI

Comments