Ndoa ya Young Dee Yaota Mbawa

Baada ya kusambaa picha katika mitandao na ikaelezwa kuwa huenda msanii Young Dee ameona, imekuja kubainika haikuwa kweli bali ni wimbo wake mpya.

Young Dee alichanganya mashabiki wake hasa pale alipokuwa akipatiwa pongeza za ndoa na yeye kuzipokea kwa mikono miwili.

Siku moja baada ya hayo yote  Young Dee ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ninaoa, wimbo huo umekuja kuondoa stori zote za Young Dee kufunga ndoa. 

==>>Usikilize wimbo huo hapa chini.



from MPEKUZI

Comments