Mangula Azindua Kampeni Za Ubunge Monduli

Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM  Jimbo la Monduli, Bw. Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana  jimboni humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akisalimiana na Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Monduli, Bw.Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana  jimboni humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akimnadi  Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM  Jimbo la Monduli, Bw.Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana jimboni humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni  za Ubunge Jimbo la Monduli, Bw. Julius Kalanga Laizer akisaimiana na wananchi waliofika katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za ubunge jimbo la Monduli uliofanyika jana  jimboni humo.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Monduli jana


from MPEKUZI

Comments