Breaking News: Pigo Tena CHADEMA.....Mbunge wake wa Monduli Ajiuzulu na Kuhamia CCM

Julius Kalanga aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli kupitia Chadema amejiuzulu nafasi zake zote ikiwemo Ubunge na kuhamia CCM usiku wa kuamkia leo.

Katika sababu mojawapo ya kujiuzulu aliyoieleza,amesema ni Kuunga mkono juhudi kubwa za kuleta maendeleo zinazofanywa na Rais Dkt John Pombe Magufuli.

Hapo pichani alikuwa akitambulishwa rasmi usiku na Msemaji wa chama cha CCM,Ndugu Pole.

Kufuatia uamuzi huo jimbo la Monduli liko wazi


from MPEKUZI

Comments