Trump Kageuka Tena...Kasema Yupo Tayari Kwa Mazungumzo na Korea Kaskazini

Siku moja baada ya kusitisha mkutano wa ngazi ya juu na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mkutano huo huenda ukafanyika kama ilivyopangwa awali.

Alhamisi Trump alitangaza kusitisha mkutano huo uliopangwa kufanyika June 12 huko Singapore akitaja kile alichokiita “hasira kubwa na uadui wa wazi” uliooneshwa hivi karibuni katika taarifa iliyotolewa na Korea Kaskazini.

Siku moja baadae, Trump ameonekana akilegeza msimamo. Ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa;


from MPEKUZI

Comments