Kwa Nini Saa Hii Inaongoza Kwa Mauzo

KWANINI SAA HII INAONGOZA KWA MAUZO
au kwa lugha ya wazungu why this watch is best selling ...hili swali nilijiuliza kwa siku tatu mfulizo kwanini saa ilikuwa best selling mwezi tatu na wapili kwenye website nyingi dunia ikiwemo na ya kwetu....

Nikasema ngoja niivae nione ilinichukua masaa 72 kuja kujua why is best of best kwenye saa za mshale..kwanza kabisa saa hii ina mkanda wa ngozi then uko.comfortable yaani ngozi flani ya kibabe...

Pili rangi yake ni mchanyiko mzuri yaaani saa ya silver n mikanda meusi unapata best mchanganyiko.. ebwana saa hii pia ni water resistant 30meter chini ya maji ..... 

Imetengenezwa na kampuni ya skmei...mmmh nilipofungua nilikuta imekuja na box lake original sio saa inakuja bila box...bila kusahau kasaa haka mishale yote inazunguka ina kalenda na stop watch...

Hapo nikajua kujua kwa matumizi haya Lazima iwe BEST SELLING TU HAKUNA NAMNA......unaweza kwenye kuona sifa nyingine ukibonyeza buy now hapo agiza na utalipia mzigo ukifika majiji yote tanzania


from MPEKUZI

Comments