Video Mpya Ya Irene Robert - TEMBEA

Malkia wa muziki wa Injili kutoka Dar Es Salam anayekuja juu kwa Kasi kubwa Irene Robert baada ya kuachia video ya wimbo wake wa kishindo na kufanya vizuri Sasa anakuletea zawadi Mpya ya video iitwayo Tembea ambayo ameiacha kwa YouTube link yake.

==>Itazame hapo chini


from MPEKUZI

Comments