TCRA yakanusha taarifa Inayokataza kutaja majina ya Viongozi kwa Utani

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekanusha taarifa iliyosambaa mtandaoni ambayo ilidai kuwa kutaja jina la kiongozi yeyote kwa utani kupitia sms faini yake ni Tsh. Milioni 5 au jela miaka mitatu. 

TCRA imewataka wananchi kupuuzia taarifa hiyo ambayo inaonekana hapo chini.


from MPEKUZI

Comments