Rapa Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q ameungana na Barakah Da Prince kwenye audio ya wimbo wake mpya, ‘Mafanikio’.
Audio imetengenezwa kwenye studio za wanene chini ya producer Goncher Beats huku ikimaliziwa na Chizan Brain.Usikilize hapo chini.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment