Rayvanny na Diamond wairudisha video ya wimbo wao wa Nyegezi- Mwanza Youtube

Ikiwa ni siku mbili tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny achukue maamuzi magumu ya ku-block wimbo wake usitazamwe Tanzania baada ya kuamriwa kufanya hivyo na BASATA, hatimaye msanii huyo ameurudisha tena wimbo huo kwenye mtandao wa YouTube.

Mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka Basata wala kwa Lebo ya WCB ambayo inammiliki msanii Rayvanny kuhusiana na video hiyo.

Video ya Mwanza mpaka wakati huu ni Trending namba Youtube huku ikiwa na watazamaji zaidi ya million 2.4 kwa muda wa siku tano.


from MPEKUZI

Comments