Mbunge wa Babati Mjini kwa kupitia Chadema Pauline Gekul, ajiuzulu na Kujiunga CCM

Habari ambazo si rasmi ni kwamba Mbunge wa Babati Mjini (Chadema), Pauline Gekul ametangaza kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na CCM.

Barua inayosambaa  mitandaoni kuanzia  saa 4.20 usiku wa kuamkia leo ikionyesha kwenda kwa Spika wa Bunge Job Ndugai ikiwa imesainiwa na Gekul anasema amejiuzulu uanachama na ubunge wake.

Miongoni mwa sababu za uamuzi huo ni baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuhujumu kwa makusudi jitihada zake za kupelekea wananchi maendeleo.



from MPEKUZI

Comments