Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kesho Kwa Dharura!

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kesho tarehe 17.10.2018 kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu ya chama hicho kitachokuwa na agenda kuu ya kujadili na kuazimia kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya chama kitakachofanyika jijini Dar es Salaam
 
Taarifa  hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema
from MPEKUZI

Comments