Updates: Watu 44 Wameripotiwa kufariki ajali ya MV Nyerere

Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere kilichozama  lilisitishwa  jana usiku kutokana na giza na litaendelea  tena leo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amesema mpaka sasa watu waliookolewa wakiwa hai ni 37 na waliopoteza maisha ni 44.


from MPEKUZI

Comments