Kingwalla Kaweza kusimama mwenyewe baada ya Ajali....Tazama picha

Waziri wa Maliasili na Utali Dr Hamisi Kigwangalla anaendelea kuimarika vizuri baada ya kupata ajali ya gari alipokuwa akitokea mkoani Arusha kuelekea Dodoma baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa habari wa wizara hiyo Hamza Temba. 

==>>Hapa kuna picha mbili akiwa ameweza kusimama mwenyewe nje ya Hospitali.



from MPEKUZI

Comments