Viwanja Salama Kwa Makazi Vinauzwa kwa Bei Nzuri....Changamkia Fursa

Tunauza Viwanja Ukuni Bagamoyo kituo kimoja kabla ya Bagamoyo town..... sqm 1200 Tsh million 15 umbali meters 400 kutoka Bagamoyo road,M Mapinga sqm 700,800 hadi 1000 Tsh Bei Tsh 1300 per sqm.

Buyuni chanika sqm 997 block 10 plot 81 Tsh million 12,k Ina hati tayari,M Mwasonga Kigamboni vipo kuanzia sqm 500 hadi 1000 Bei Tsh 700 Kwa sqm

Mapinga sqm 2197 Bei Tsh 14000 per sqm na sqm 2723 Bei Tsh 14000 per sqm, unaingilia njia ya Baobab Maongezi yapo, karibu na mtaa wa block Street,uliojengwa kisasa,.

Pia km tatu kutoka Bunju sokoni kuna 20/40 million 9, na 20 / 25 mil 6 na 20 / 45 Bei million 10 .5 , kuna view nzuri ya Bunju masait na Mabwe pande
 
Pia Kijiji kizuri cha Amani upepo mwingi km 5 kutoka baharini kuna 20/40 Bei Tsh million 8 njia unaingilia Mapinga kuelekea baharini yan kulia


from MPEKUZI

Comments