PICHA: Msaidizi wa Rais, Kanali Mlunga Akaribishwa Rasmi Ikulu

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amemkaribisha Ikulu Msaidizi wa Rais Magufuli Kanali Mlunga. 

Kanali Mlunga amechukua nafasi ya Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.
Gerson Msigwa akimuaga Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.


from MPEKUZI

Comments