Beaking News: Lori la Mafuta Lawaka Moto na Kuua Wawili Mlima Sekenke Singida

Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Deborah Magiligimba,  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa watu wawili wamefariki, lakini bado hawajapata majina yao.


from MPEKUZI

Comments