Pata Hadithi Kali za Kusisimua Toka kwa Mwandishi Makini

NEW YEAR, NEW GROUPS
BAADA YA KIMYA KIREFU CHA HADITHI YA SORRY MADAM.
Muandishi Eddazaria G.Msulwa(Genius Author ) anawakaribisha wasomaji wote munao tumia mtandao wa Whatsapp 0657072588. Kujiunga kwenye group lake jipya la V.I.P STORIES 2018 lililo anza 13th January 2018.

Hadi kali na za kusisimua SIN na TANGA RAHA Season TWO, zimeanza kupamba moto.

Wahi sasa kwani ada yetu ya group la hadithi ni nafuu kabisa. Sh 4000 tu, utaweza kusoma hadithi kwa mwenzi mzima na hadithi hizo zitaruka kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.

Na ukijiunga kwenye group basi tutakutumia hadithi za nyuma zilizo pita kwenye group bure. Wasiliana na muandishi moja kwa moja kupitia simu namba 0657072588 au 0768516188.

Kama mpenzi msomaji wa hadithi zetu, tunakukaribisha pia kwa maoni yako, kwa kumpigia simu muandishi na moja kwa moja ukazungumza naye.

Karibuni sana whatsapp 0657072588

By. Eddy Msulwa


from MPEKUZI

Comments