Tetemeko la Ardhi Lazua Taharuki Jijini Mbeya

Tetemeko la ardhi la sekunde kadhaa limetokea  leo mchana Alhamisi Machi 21, 2019 jijini Mbeya na Sumbawanga na kuleta hofu kwa Watu mbalimbali.

Baadhi ya wananchi walilazimika kuacha ofisi zao huku waliopo nyumbani nao wakitoka nje ya nyumba zao.Hakuna madhara yaliyoripotiwa hadi sasa


from MPEKUZI

Comments