Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

Rais Magufuli jana March 20, 2019  amefanya mazungumzo na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, kwa njia ya simu. 

Taarifa iliyotolewa na Ikulu inasema, amemhakikishia Rais Magufuli kuwa Ujerumani ipo tayari, kukuza zaidi uhusiano wake na Tanzania hususani juhudi za kuimarisha uchumi.


from MPEKUZI

Comments