Wema Sepetu afunguliwa rasmi na bodi ya filamu

Bodi ya Filamu Tanzania imetangaza leo kumfungulia kuendelea na kazi za sanaa Muigizaji Wema Sepetu

Wema alifungiwa kutojihusisha na kazi za filamu kwa muda usiojulikana kutokana na video iliyosambaa ya kukiuka maadili ya kitanzania.


from MPEKUZI

Comments