Video Mpya: Morgan Heritage ft. Diamond Platnumz & Stonebwoy - Africa x Jamaica

Kundi la muziki wa reggae kutoka nchini Jamaica limeachia video ya wimbo wao mpya uitwao Africa x Jamaica  ambao wamewashirikisha Diamond Platnumz na  Stonebwoy. Itazame hapa.


from MPEKUZI

Comments