Riwaya Kali: POWER - Sehemu ya 07

MWANDISHI: EDDAZARIA G.MSULWA- 0657072588
ILIPOISHIA  

“Wewe ndio binadamu wa kwanza kuwa rafiki yangu.Ila ninakuomba usije ukanisaliti siku hata moja, ukinisaliti kila kitu kitamu kwako nitakibadilisha na kitakuwa kichungu na urafiki wangu mimi na wewe utakufa sawa”
Ethan mwenzangu alizungumza kwa ukali kidogo na msisitizo, nikatingisha kichwa nikimaanisha kwamba nimemuelewa anacho kizungumza.
“Unahitaji nguvu si ndio?”
“Ndio”
Kwa ishara Ethan akaniomba nisimame mbele yake, akaniamrisha nipige magoti mbele yake na nikapiga kweli magoti. Akaniweka mkono wake wa kulia kichwani mwangu, mwili wangu mzima nikahisi kuna nguvu fulani inaniingia, Ethana akaendelea kunipatia nguvu hadi mwili wangu ukaanza kutetemeka, na mwishowe nikajikuta nikianguka chini na kupoteza fahamu.

ENDELEA
“Ethan, Ethan”
Niliisikia sauti ya marafiki zangu wakiniamsha kutoka usingizini, nikafumbua macho yangu na kumuona rafiki yangu akiwa amepanda ngazi za kitanda changu huku akinitazama.
 
“Kumepambazuka, amka tuwahi darasani?”
“Ni saa ngapi?”
“Sa moja kasoro asubuhi”
Nikakurupuka kitandani kwa haraka sana, kwani muda wa kuamka siku zote ni saa kumi na mbili asubuhi. Nikakimbilia bafuni huku nikiwa nimejifunga taulo, nikaingia bafuni na kuanza kuoga haraka haraka huku nikijaribu kufikiria nimeruidije rudije hapa chuoni. Ila sikuhitaji kuliweka sana jambo hili akilini mwangu kwa maana ni mara nyingi huwa nina toka na Ethan mwenzangu ambaye jana niliweza kumtambua jina lake na muonekano wake, na kisha tunarejea sehemu anapo nitoa. Nikarudi chumbani, nika wakuta wezangu wamesha niandalia nguo zangu za kuvaa jambo ambalo kwa kweli lime nishangaza sana. 
 
“Asanteni”
Nilizungumza huku nikianza kuvaa nguo zangu, nilipo hakikisha kwamba nimemaliza, kuvaa na viatu tukatoka chumbani humu na kuelekea kwenye kiwanja ambacho tunakusanyika wanafunzi wote kila asubuhi na baada ya hapo tunaelekea kwenye madarasa yetu. Mkuu wa chuo akatutangazia kuhusiana na kuanzisha ligi ya mpira kwa shule nzima kuanzia msingi hadi sekondari, msindi atakaye patikana katika shule ya msingi atacheza fainali na mshindi atakaye shida katikashule ya sekondari. 

Furaha ikanijaa sana kwani hii ndio nafasi yangu ya pekee ya kuzidi kuonyesha kipaji changu cha mpira. Tukaruhusiwa kutawanyika darasani, kwa haraka Camila akanifwata sehemu nilipo simama na rafiki zangu, nikajitenga pembeni na rafiki zangu.
“Vipi mpenzi wangu”
Camila alizungumza huku akinitazama usoni mwangu.
“Salama niambie”
“Safi, nimekuletea zawadi, usiifungue nenda kaifungue darasani kwako”
Camila akanipatia kiji boksi kidogo alicho kifunga vizuri na kuandika jina langu juu ya kiboksi hichi.
“Kuna nini?”
 
“Wewe nenda kafungulie darasani kwako”
Camila alinisisitizia na akaondoka huku akiwa ameongozana na kundi la rafiki zake. Nikiwa rafiki zangu watatano, tukaelekea darasani kwetu, ubaya mimi na Camila tupo madarasa mawili tofauti. Nikaka kwenye dawati langu, kwa haraka nikafungua kiboksi hichi na kukuta karatasi nyeupe iliyo kunjwa vizuri, kwa haraka nikaifungua, sikuamini macho yangu baada ya kukuta picha yangu ya jana nilipo funga goli la tikitaka, ikiwa imechora vizuri. Nikayashusha macho yangu hadi kwenye jina la mchoraji na nikakuta ni Camila.
“Ethan ni nani amekuchorea hivyo?”
Binti mmoja aliniuliza huku akichungulia picha yangu, kwa haraka nikaikunja na kuiweka katika mfuko wa kaptula yangu.
 
“Hamna kitu”
Nilimjibu kwa ufupi tu, akiangia mwalimu wa hesabu, somo ambalo kusema kweli silipendi hata kuliona, japo nipo darasa la kwanza ila kusema kweli lina nishinda nahata ufuliji wake kwa upande wangu si mkubwa kivile.
Mwalimu akaendelea kufundisha huku akilini mwangu nikiwa nina fikiria picha niliyo pewa zawadi na Camila mwanamke ambaye taratibu ana anza kuuteka moyo wangu.
Kitu nilicho weza kukigundua kwenye nchi hii, watu wana uhuru wa kueleza hisia zao kwa wanao wapenda haijalishi umri ua jinsi. Ni tofauti na bara letu la Afrika hususani katika nchi yangu ya Tanzania, ni marufuku watoto kupenda hadi wafikishe miaka kumi na nane au watoke nyumbani kwa wazazi.
 
“Ethan njoo ujibu swali hili ubaoni?”
Nikastuka sana baada ya mwalimu kunigusa begani mwangu, nikatazama swali lenyewe ubaoni, ni swali linalo husiana na maswala ya kuzidisha, hesabu ambazo kusema kweli zizipendi. Darasa zima wakanitazama, mwalimu akanikabidhi chaki, taratibu nikanyanyuka huku nikiwa nimejawa na wasiwasi mwingi sana.
‘Unashindwa wapi, waza’
Niliisikia sauti ya Etathan akiniongelesha. Nikasimama ubaoni, nikafikiria kidogo na nikaweza kupata jibu la swali hili, nikalijaza na mwalimu akawaamuru watu kunipigia makofi kwa maana nimepatia swali lake, jambo lililo anza kunipa faraja na kulipenda somo la hesabu.
                                                                                                                   ***
    Siku ya mapumziko ikafika, bibi Jane Klopp akafika shuleni hapa kunitembelea, kama ilivyo kuwa kawaida kwa wazazi wenye wanafunzi wengine kuja kunitembelea. Nikasalimiana naye kwa furaha huku tukikumbatia.
“Hongera sana Ethan”
“Hongera ya nini tena mama?”
 
“Nimesikia sifa zako kutoka kwa mwalimu wako wa mpira na amenitumia video hii ukicheza mpira”
Bibi Jane Klopp akanionyesha video iliyo rekodiwa na simu, nikiwa ninacheza mpira.
“Ukiendelea hivi nakuhakikishia kwamba utakuwa ni mchezaji mzuri sana mwanangu”
“Sawa mama, nakuahkikishia kwamba ninatakuwa mchezaji mzuri sana, na nitafanya kila liwezekanalo kuliweka jina la baba juu”
“Hahaaa safi sana, nimefurahi kusikia hivyo, nitakutengenezea jezi yako iliyo andikwa E.KLOPP au unasemaje”
“Yaa itakuwa ni nzuri sana mama. Vipi dada na baba wanaendeleaje?”
“Wanaendelea vizuri, dada yako amesha anza kutembea, nimewaacha leo wakielekea hospitalini kwa vipimo vya mwisho”
“Aha sawa sawa, atapona”
“Ni kweli atapona Mungu ni mwema”
Nikamuona Camila na walinzi wake wakika katika benchi hili tulilo kaa mimi na bibi Jane Klopp katika bustan hii. Camila akamsalimia bi Jane Klopp kwa heshima zote. Nikamtambulisha Camila kwa bibi Jane Klopp.
 
“Ninamfahamu huyu binti, mama yako si Priscar”
“Ndio bibi”
“Yaa wewe na mama yako ni marafiki sana. Ninafurahi sana kuona umekuwa rafiki wa mwanangu hapa shule, kikubwa hakikisheni kwamba muna zingatia masomo. Sawa”
“Sawa mama”
“Vipi mama yako amekuja kukutembelea leo?”
“Hapana, takuja babu baadae”
“Ahaa, ndio maana nimeona ulinzi umeimarishwa hapa”
“Ndio bibi”
Tukaendelea kuzungumza na bibi Jane Klopp hadi wakati wa mchana na tukapata chakula pamoja kisha akatuga na kuondoka.
“Babu yako atakuja muda gani?”
“Kwenye saa tisa hivi”
“Ila si raisi baba yako?”
 
“Ni raisi kwa watu wengine ila kwangu mimi ni babu yangu, nimemuomba aje kunitembelea na atakuja”
“Sawa, ngoja nipeleke hizi zawadia alizo niletea mama, bwenini”
“Twende wote”
“Wee Camila umeona wapi bweni la wavulana mukaingia nyinyi wasichana”
“Wewe twende”
“Mmmmm”
“Tena lete nikusaidie kubeba mfuko huo”
Camila akanisaidia kubeba mfuko mmoja mweusi. Tukaanza kutembea taratibu kuelekea bwenni huku walinzi wake wakitufwata kwa nyuma. Tukafika kwenye mlango wa chumba ninacho lala, nikamuomba aweze kunisubiria nje, ila akanikatalia, na akawaamuru walinzi wake wasubiri nje na tukaingia wote ndani.
 
“Camila ila tunavunja sheria za shule”
“Babu yangu anakuja leo, walimu wote akili zao zipo kwenye ugeni huu wala usihofie, hakuna atakaye jua hili”
Camila alizungumza huku akiufunga mlango kwa ndani. Mapigo ya moyo yakazidi kunienda kasi kwnai kusema kweli katika vitu ninavyo ogopa ni katika kuvunja sheria ya shule na isitoshe bibi Jane Klopp hata leo ametoka kunisisitizia hili. Camila akaitazama picha aliyo nipatia kama zawadi nikiwa nimeibandika ukutani pembeni ya kitanda changu.
 
“Nilikupatia”
“Aliye chora ni wewe?”
“Ndio ni mimi, mama yangu ni mchoraji mahiri sana na nimerithi kipaji chake”
“Hongera sana”
Camila akanisogela sehemu nilipo simama, akanikumbatia kwa nguvu.
“Ethan ninakupenda sana natamani miaka iende tukue, tuanze kuishi pamoja”
 
“Usijali, tutafikia tu umri wa kukua”
Taratibu Camila akanitazama usoni mwangu, kisha akayafumba macho yake huku akiusogeza mdomo wake karibu yangu, jambo lililo nishangaza sana na kunifanya nitetemeke mwili mzima hadi nikahisi haja ndogo inataka kunitoka. Midomo yetu ikagusana, hapo ndipo nikahisi ubaridi mkali ukikatiza mwilini mwangu kutoka utosini hadi kwenye nyanyo zamiguu yangu. Kitendo cha Camila kuupenyesha ulimi wake katikati ya lipsi zangu na kugusana na ulimi wangu, nikahisi msisimko ulio fanya uume wangu kusimama. Mlango ukagongwa, Camila akaniachia kwa haraka huku macho yakiwa yamelegea. 
 
“Madam, raisi anakaribia kufika shuleni, unaweza kutoka sasa”
Tuliisikia sauti ya mlinzi wake mmoja. Camila akashusha pumzi kwa nguvu.
“Nina kuja”
Camila alijibu kwa sauti ya ukali, kisha akanibusu shavuni mwagu.
“Nakupenda Ethan”
“Ninakupenda pia Camila.”
“Twende ukamuone babu yangu”
 “Ahaa…siku nyingine nitamuona”
“Twende bwana”
“Hapana Camila”
 
Nilizungumza huku nikiushika uume wangu nikiuweka vizuri kwenye suruali yangu hii ya kushindia niliyo ivaa. Camila akanitazama kwa muda kisha akatabasamu, akanibusu mdomoni kisha akatoka ndani humu na kuniacha nikiwa hakika hali ya mawazo yangu, kwani hali ninayo jihisi mwilini mwangu, leo hii ndio mara yangu ya kwanza. Nikajilaza kiyandani mwangu huku nikiwa bado siamini.
‘Hahaaaha…….’
Nilisikia kicheko cha Ethan ndani ya chumba hichi, nikaka kitako kitandani na kumkuta akiwa amekaa kitanda cha mbele yangu.
“Mbona umekuja saa hizi, watu si watakuona?”
“Hakuna ambaye anaweza kuniona zaidi yako. Mbona umeshindwa kufanya chochote kwa mchumba wako?”
“Ethan kumbuka mimi bado ni mtoto na mambo hayo wala siyaelewi”
“Hahaaa…utataka kuyaelewa?”
“Hapana kwa muda huu acha kwanza nisome”
“Sawa, ila kuwa makini sana na huyu binti”
“Makini kivipi?”
 
Mlango ukafunguliwa akaingia rafiki yangu mmoja ambaye analala chumbani humu.
“Mbona unazungumza peke yako au nimesikia vibaya?”
“Utakuwa umesikia vibaya.”
“Twende tukampokee raisi?”
“Najisikia vibaya nahitaji kupumzika kidogo”
“Ahaa….sawa, kwa maana nilikutafuta kule nikahisi kabisa kwamba utakuwepo huku”
“Vipi wazazi wako wamekuja?”
“Ndio wamekuja na wamesha ondoka”
“Sawa”
 
Rafael akatoka chumbani humu na kuniacha mimi na Ethan ambaye ni jini asiye onekana kwa watu wengine zaidi yangu mimi peke yangu.
“Ethan umesema kwa nini niwe makini na huyu binti”
“Anakupenda sana, sasa kukupenda kwake, kusije kukakuletea matatizo katika masomo yako na amani yako”
“Kivipi?”
“Ni mapema sana kuzungumzia mambo ya miaka mitano ijayo mbeleni, kwa sasa endeleeni kula maisha”
Ethan alizungumza huku akicheka.
“Hivi jana ilikuwae?”
“Imekuwa kama ilivyo kuwa au?”
“Mbona nilijikuta nikiwa kitandani?”
“Yaa nguvu ambazo nimekupatia utazitumia kwa miaka ijayo.”
“Miaka mingapi ijayo?”
“Ohooo Ethan”
“Nini?”
 
“Angalia mlangoni”
Nikatazama mlangoni, sikuona kitu chochote, nikageuka kumtazama katika sehemu ambayo alikuwa amekaa, ila sikumuona, nikastukia mlango ukifunguliwa, akaingia mzee mmoja aliye valia suti nzuri huku akiwa ameongozna na walinzi huku mkono wake wa kulia akiwa ameshika Camila ambaye usoni mwake ana mwagikwa na machozi. Nikanyanyuka kwa haraka kitandani na nikamsalimia mzee huyu kwa heshima sana, ila sura yake ikaonyesha kukasirika sana, na kwa haraka nikaweza kumtambua kwamba huyu ndio raisi wa hapa Ujerumani kwa maana picha yake ipo katika ofisi ya mkuu wa shule na waalimu wengine.

==>>ITAENDELEA KESHO


from MPEKUZI

Comments