NECTA: Wanafunzi waliojitokeza kufanya mitihani ni zaidi ya tuliotarajia

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi huu ni zaidi ya idadi iliyotarajiwa na baraza hilo na usimamizi wa sasa uliimarishwa zaidi.

==>>Msikilize Katibu mkuu NECTA akiongea hapo chini


from MPEKUZI

Comments