Mch. Peter Msigwa apigwa marufuku kufanya mikutano jimboni kwake

Mbunge  wa Jimbo la Iringa mjini, Peter Msigwa, amepigwa marufuku na jeshi la polisi mkoani humo  kuendelea na mikutano yake ya hadhara ya kuzungumza na wananchi iliyoanza jana kwa kile ambacho polisi  wamedai kuwa mkutano wake alioufanya jana eneo la Kihesa uliambatana na lugha za matusi na uchochezi kinyume na lengo ambalo alilitaarifu jeshi hilo  kwamba anakwenda kufanya mikutano ya kuhamasisha maendeleo, kusikiliza kero za wananchi  na kuzitafutia ufumbuzi.


from MPEKUZI

Comments