MAAJABU…. Jogoo aliyenyonyolewa manyoya na kuvishwa 'hirizi' Kanaswa Stendi Ya Mabasi Tabora

Shuhudia jogoo aliyenyonyolewa manyoya yote akiwa hai na kuzua mshangao katika Stendi ya mabasi mkoani Tabora. 

Meneja wa Kituo  hicho kaamua kumchukua na kumgeuza kitoweo bila kuogopa hayo mahirizi yake.  Tazama apo chini


from MPEKUZI

Comments