Habari MUHIMU Toka Kurugenzi Ya Mawasiliano ya Rais IKULU Leo October 9

Benki ya Dunia inatekeleza miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi Trilioni 10.2 nchini Tanzania na sasa inaandaa miradi mingine katika sekta ya elimu itakayogharimu shilingi Trilioni 1.4 kabla ya kufika Desemba 2018. from MPEKUZI

Comments