Breaking News: Msikilize Hapa Mo Dewji Akiongea Baada ya Kupatikana Leo Usiku

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji amepatikana na   Dewji mwenyewe amezungumza.

“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji

Kipande cha video kinachothibitisha kupatikana kwa Mo Dewji alfajiri ya leo.


from MPEKUZI

Comments